23/10/2021
Habari zenu wapendwa.
Karibuni Shufaa Trader kwa mahitaji ya bidhaa asilia...Scrub ya kahawa na scrub ya sali, na sabuni za mwani na karafuu...
Iliyotengenezwa kwa mkono na asilimia 100 hazina kemikali...karibu kujipatia bidhaa zetu kwa matunzo bora na kinga ya ngozi yako.
Usisahau kupitia page yetu kwa kuona bidhaa zetu..na kwa mawasiliano zaidi
0675586332.