Sopho

Call Directions

Sopho Jifunze kuthubutu kufanya kitu maana uoga hausaidii kitu ukiwa unamaono juu ya mafanikio katika maisha yako

maisha ni kutafuta na si kutafutana  mimi ninavyojua kupata pesa ni rahisi sana lakini kufanikiwa ndiyo vigumu wewe jiul...
13/11/2018

maisha ni kutafuta na si kutafutana mimi ninavyojua kupata pesa ni rahisi sana lakini kufanikiwa ndiyo vigumu wewe jiulize wangapi wanapata pesa na hawafanikiwi? iko ivi wengi wetu huwa tunatafuta pesa bila malengo yoyote asa jiulize utafanikiwaje unapata pesa na hauna plan juu ya kitu flani na utaitunzaje pesa hauna mkakati wowote? embu jiulize mara mbili tatu cha msingi ndugu zangu vijana wenzangu tuwekeni malengo katika kutafuta kwetu kitu kingine watu wengi sana wanashindwa kuelendelea kibiashara kutokana na kutokuwa wavumilivu kwenye biashara eti unakuta mwingine anaanzisha biashara ya mchele asipata wateja cku moja anaacha biashara iyo kasahau kuwa cku hazilingani badala ya kuvumilia anakata tamaa jaman ulishaona wapi biasha rahisi namna iyo uvumilivu, jitihada yan kujituma na kutokata tamaa ni ngunzo mhimu katika maisha.

Address

Kaliua
Tabora

Telephone

+255625610389

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sopho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share