21/05/2023
Je umekua ukihangaika kubadili charge kila siku ama battery ya simu yako kupoteza uwezo wake wa kutunza charge k**a mwanzo?
Kuna sababu nyingi lakini leo nikupe sababu 1 tu kubwa itakayoweza solve % kubwa ya tatizo lako.
Hakikisha kuwa simu/vifaa vyako vinachajiwa kikamilifu kwa cable rasmi ya kifaa chako.
Leo tuanze na google nimekuletea original google fast charging adapters and USB-C( Type-C) 2rd generation yenye urefu wa 1metre.
Zipo: 18W, 23W and 30W
18W matumizi.
Series
G.pixel 2
G.Pixel 3
G.Pixel 4
G.Pixel 5
G.Pixel 6a (PD 3.0)
G.Pixel 7a (PD 3.0)
20W (PD 3.0)
G.Pixel 7 pro (50% in 30 min).
PD23W (PD 3.0)
G.pixel 6 pro (50% in 30min).
30W (PD 3.0)
G.Pixel 6 (50% in 30min).
18W, 20W, 23W, 30W
Charge zote unaweza chajia simu yoyote.
▶️Power delivery up to 100W (PD3.0)✔️
Inapendekezwa kutumia charge sahihi kulingana na uwezo wa simu yako(Highly recommended),
hii itakusaidia kucharge kwa haraka na kutunza uhai wa battery 🔋 ya simu yako, simu kupata joto na system charge.
Sifa muhimu za charge hizi.
•Charge ni original kutoka Google vendors
•Inatumika kwenye simu/vifaa mbalimbali vinavyotumia type C
•USB-C 3.1 yenye speed kubwa kwa usafirishaji wa data 5-10gb/s
•Urefu wa 1metre
18W = 30,000/=
20W = Out of stock
23W = 30,000/=
30W = 45,000/=
Zinapatikana dukani kwetu Barabara ya 10 Tanga.
Piga simu 0778 723 654 delivery ni bure kwa wakazi wa tanga.