Plots Online

Plots Online Nunua viwanja maweni , Tanga kwa bei rahisi kabisaa

Kwa wale wateja wetu ambao mpo Dar es salaam, Ofisi zetu Cityplan zipo ghorofa ya 8 katika Jengo hili la MLIMANI TOWER l...
19/06/2018

Kwa wale wateja wetu ambao mpo Dar es salaam, Ofisi zetu Cityplan zipo ghorofa ya 8 katika Jengo hili la MLIMANI TOWER lililopo Opposite na MLIMANI CITYπŸ™πŸΎ, Karibuni wote

Ramadhan Kareem Jamiah πŸ™πŸΎ
15/06/2018

Ramadhan Kareem Jamiah πŸ™πŸΎ

Wananchi walionunua viwanja katika mradi wetu huu wa Maweni, Tanga wakiwa wamejitokeza kuja kuoneshwa viwanja vyao.     ...
10/06/2018

Wananchi walionunua viwanja katika mradi wetu huu wa Maweni, Tanga wakiwa wamejitokeza kuja kuoneshwa viwanja vyao. .

Nunua viwanja maweni , Tanga kwa bei rahisi kabisaa

https://www.google.com/maps/@-5.1305407,38.9999756,815m/data=!3m1!1e3 Fungua hilo link hapo juu itakupeleka moja kwa moj...
08/06/2018

https://www.google.com/maps/@-5.1305407,38.9999756,815m/data=!3m1!1e3
Fungua hilo link hapo juu itakupeleka moja kwa moja kwenye viwanja vyetu., πŸ™πŸΎ

Find local businesses, view maps and get driving directions in Google Maps.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu akiwa na mashabiki wa Coastal Union wakifurahi...
06/06/2018

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu akiwa na mashabiki wa Coastal Union wakifurahia ushindi uwanja wa Mkwakwani , Tanga.⚽⚽⚽

Ingawa tumechelewa sana kutoa pongezi , lakini ligi kuu bado haijaanza ' Team nzima ya   inatoa pongezi kwa klabu ya ⚽⚽ ...
06/06/2018

Ingawa tumechelewa sana kutoa pongezi , lakini ligi kuu bado haijaanza ' Team nzima ya inatoa pongezi kwa klabu ya ⚽⚽ kufuzu na kurudi Ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara baada ya kuwafunga Mawenzi Market 2-0 ' πŸ™ŒπŸ™Œβš½βš½

Ofisi Kuu ya Bandari hapa Tanga (TPA)
06/06/2018

Ofisi Kuu ya Bandari hapa Tanga (TPA)

Muonekano wa kwa mbali wa Kiwanda cha Chokaa cha KNEELKANT hapa mjini Tanga
06/06/2018

Muonekano wa kwa mbali wa Kiwanda cha Chokaa cha KNEELKANT hapa mjini Tanga

Viwanja hivi vimezungukwa na makazi ya watu katika pande zote na huduma za kijamii zote zinapatikana hapa
06/06/2018

Viwanja hivi vimezungukwa na makazi ya watu katika pande zote na huduma za kijamii zote zinapatikana hapa

Tujikumbushe tu viwanja hvi unaweza nunua kwa mkopo na "Bila RIBA" kwa miezi 24.πŸ™πŸΎ
06/06/2018

Tujikumbushe tu viwanja hvi unaweza nunua kwa mkopo na "Bila RIBA" kwa miezi 24.πŸ™πŸΎ

Meneja mradi wa   alikua akihojiwa katika kituo hiki cha radio πŸ“»     hapa mjini   kuelezea manufaa na unafuu wa viwanja ...
06/06/2018

Meneja mradi wa alikua akihojiwa katika kituo hiki cha radio πŸ“» hapa mjini kuelezea manufaa na unafuu wa viwanja hivi vya maweni

Address

Maweni
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Plots Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share