Chuma boy

Chuma boy Technology

20/09/2019

TAFADHALI NISAIDIE KUISAMBAZA HII KWA KU SHARE, ITASAIDIA WENGI,

Simu yako ni HATARI SANA kwenye Afya yako.
Fuhamu MADHARA yatokanayo na simu yako na JINSI YA KUYAPUNGUZA.
Simu tunazozitumia hutoa mionzi (radiations) hatari sana ijulikanayo k**a "Electromagnetic waves" wakati wa kupiga/kupokea simu, kuperuzi Internet, nk..

Madhara ya Mionzi hii;

1. Husababisha Saratani ya Ubongo (Brain Cancer) na ngozi (Skin Cancer).
2. Husababisha hitilafu kwenye Ubongo na hii hupelekea kupoteza kumbukumbu, uwezo mdogo wa kupambanua mambo na umakini (Concentration).
3. Husababisha upungufu wa mbegu za kiume na hata utasa (Impotence) kwa wanaume.
4. Huongeza shinikizo la damu.
Jinsi ya kupunguza Athari zitokanazo na Mionzi hii hatari;
1. Weka vifaa maalum vya kupunguza mionzi (Radiation absorbers) kwenye simu yako. Vinapatikana madukani.
2. Usipende kuweka simu mfukoni endapo huitumii. Wakati wa kulala weka mbali angalao SM 30 kutoka ulipo.
3. Simu iwapo mfukoni, upande wa Vitufe na kioo cha simu ndio kielekee mwili wako!
4. Tumia "headsets" au "Kipaza sauti (Loud Speaker). Hii hukusaidia kuwa mbali na mionzi wakati wa kupiga/kupokea simu.
5. Usiitumie simu yako iwapo ina "bar" moja au mbili za "network" (Low Network Signal). Wakati huu simu inafanya kazi kupita kiwango cha kawaida hivyo huongeza wingi wa mionzi.
6. Wakati wa kupiga simu, subiri ipokelewe ndio uisogeze karibu ya mwili (mf. Masikioni).
7. Iwezekanapo, penda kuwasiliana kwa ujumbe wa maneno (text msg) kulipo kupiga simu.

Simu ni muhimu sana katika Maisha yetu ya sasa. Hutuunganisha na ulimwengu uliogubikwa na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia.
Sanjari na hili, tunapaswa kuwa makini katika juhudi za kujaribu kuepuka Madhara yatokanayo na simu k**a ilivyoainishwa hapo juu.

20/09/2019

Sio Kila usaliti anaoufanya Mwanamke unasababishwa na kipato Cha mwanaume(Pesa) eti kwa kuwa wanawake miaka hii wana tamaa ya pesa, Bali wengi hawapati penzi linalotosheleza hisia zao...
wajibika kabla hujasaidiwa Broh.....๐Ÿ˜‚

Nmerusha jiwe gizani, muniwie radhi mabaharia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Like page

Share

20/09/2019

K**A UKO ONLINE USIPITE BILA KUMWOMBEA DUA.
Mshindi wa mashindano ya tahfidh lqur,ani.akilia machozi ya furaha baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya qur,ani upande wa wasichana.alla azidi kumsimamia.
Usiache kushea ili watu wazidi kumuombea dua njema.

Address

Tanga City
Tanga

Telephone

+255715015552

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuma boy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share