Omar el men

Omar el men Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Omar el men, Business service, Swamp side, Tanga.

27/03/2024

Mama ni muungwana sana simsemei lakini najua halipi kisasi ,ile hadithi nzuri kwa hao watakaosimulia anaitamani awe nayo.

HONGERA Sana kakaangu sana mh sana kiboko ya wazungu kwa kutwaa na kutetea kiti cha urais kwa kishindo
19/03/2024

HONGERA Sana kakaangu sana mh sana kiboko ya wazungu kwa kutwaa na kutetea kiti cha urais kwa kishindo

VLADIMIR Putin amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Rais wa Urusi na kuweka rekodi katika uchaguzi wa Urusi uliomalizika jana Jumapili ambapo katika matokeo ya awali yanaonesha kuwa amepata asilimia 87.8 za kura huku Nikolay Kharitonov aliyekamata nafasi ya pili akipata kura chini ya asilimia 4.

Akihutubia baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji Kura Putin amesema matokeo hayo yanapaswa kutuma ujumbe kwa Mataifa ya Magharibi kwamba Viongozi wake watalazimika kuitambua Urusi yenye ujasiri, iwe ni katika vita ama kwenye amani kwa miaka mingi jayo

Kwa ushindi huo wa kishindo Putin mwenye umri wa miaka 71, anatazamiwa kuanza muhula mpya wa miaka sita utakaomfanya ampiku Josef Stalin na kuwa Kiongozi aliyedumu kwa muda mrefu zaidi wa Urusi katika kipindi cha zaidi ya miaka 200 iwapo atamaliza muhula wake.

Matokeo ya asilimia 87.8 za kura aliyopata Putin ni ya juu zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Urusi baada ya muungano wa Kisovieti kuvunjika.

Mataifa ya Marekani, Ujerumani, Uingereza na mengine yamesema kuwa Uchaguzi huo haukuwa huru na haki kutokana na kufungwa kwa Wanasiasa wa upinzani na kudhibitiwa.

one in president office
07/03/2023

one in president office

in white house
07/03/2023

in white house

swali tuwasifu kwa uzinifu au wameona hawa jamenii?
23/12/2022

swali tuwasifu kwa uzinifu au wameona hawa jamenii?

Kutoka katika chuo kikuu cha UDOM, wawili hao wamejikuta wakihitimu masomo yao chuoni hapo huku wakiwa na mtoto wao mmoja ambaye wamemzaa siku za hivi karibuni.

Watu wengi wameonyesha kufurahishwa na kitendo hicho huku wengine wakisema hiyo ni baraka na wanawaombea wapate ajira haraka ili waendeleze gurudumu la kuyaanza maisha ya ndoa wakiwa na furaha zaidi.

NAKUWEKA KATIKA NDOTO ZA WATARAJIWA WA NCHI HII
22/08/2022

NAKUWEKA KATIKA NDOTO ZA WATARAJIWA WA NCHI HII

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kumuadhibu mwanae kwa mujibu wa Sheria baada ya mwanae kuonesha jeuri ndani kituo cha Polisi baada ya kuvunja sheria za barabarani kwa kuendesha gari akiwa amelewa na kugonga mawili.

“Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake.

Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA.

Binafsi naomba radhi sana kwa walioathirika na mkasa huo lakini pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.

POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA” amesema Simbachawene.

03/08/2022

hapo chacha

02/08/2022

nimecheka sana🤣🤣🤣

02/08/2022

Address

Swamp Side
Tanga

Telephone

+255787903586

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Omar el men posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share