Sendongo Timber Sales & Company LTD

Sendongo Timber Sales & Company  LTD Kampuni ya Kibiashara Tunauza mbao aina zote, pamoja na vifaa vingine vya ujenzi.

07/05/2026
Bustani ya moyo lazima ilimwe.  Udongo lazima uvunjwe kwa toba ya kina kwa ajili ya dhambi.  Mimea yenye sumu na ya Kish...
20/10/2024

Bustani ya moyo lazima ilimwe. Udongo lazima uvunjwe kwa toba ya kina kwa ajili ya dhambi. Mimea yenye sumu na ya Kishetani lazima ing'olewe. Udongo uliopandwa na miiba unaweza kurejeshwa tu na kazi ya bidii. Kwa hiyo mielekeo miovu ya moyo wa asili inaweza kushinda tu kwa juhudi ya dhati katika jina na nguvu za Yesu. Bwana anatuagiza kupitia nabii wake, “Limeni shamba lenu, wala msipande kati ya miiba. "Jipandieni katika haki; vuneni kwa rehema." Yeremia 4:3; Hosea 10:12. Kazi hii Anatamani kuitimiza kwa ajili yetu, na anatuomba tushirikiane Naye.{COL 56}

03/11/2022

Never give up

Karibuni wote
15/09/2021

Karibuni wote

27/05/2021

Maisha ni mapambano
Do not give up

Address

Usagara Str No 4
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sendongo Timber Sales & Company LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sendongo Timber Sales & Company LTD:

Share