07/09/2026
π’ TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
π’ GMP COMPANY LIMITED β MBEYA
GMP COMPANY LIMITED iliyopo Mbeya inawatangazia vijana wenye nia ya kufanya kazi kuhusu nafasi za kazi katika Kitengo cha Usimamizi wa Mauzo ya Bidhaa za Kampuni.
π VIGEZO VYA MWOMBAJI:
β
Elimu kuanzia Darasa la Saba na kuendelea
β
Awe mwenye nidhamu na kujiamini
β
Umri kuanzia miaka 18β30
β
Asiwe mlevi wala mtumiaji wa vilevi
β
Awe tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii
π― FURSA HII NI KWA AJILI YA:
Vijana wenye malengo, bidii, nidhamu na hamu ya kujenga maisha yao kupitia kazi halali.
π Mahali: Mbeya
π’ Kampuni: GMP COMPANY LIMITED
π Kitengo: Usimamizi wa Mauzo ya Bidhaa
π Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na utaratibu wa kuomba nafasi.
0781174291 au WHATSAPP 0789711463
β οΈ Nafasi ni chache. Usikose fursa yako!
GMP COMPANY LIMITED β Jenga Uwezo, Jenga Kesho Yako.