Yanga Africans home of champions

Directions

Yanga Africans home of champions Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga Africans home of champions, Business service, mbeya to mwanza, Tunduma.

🤔🤔
14/09/2025

🤔🤔

Jezi za Yanga Zilizo zinduliwa Jana Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2023/24 jezi Ipi Kali Hapo⁉️
07/07/2023

Jezi za Yanga Zilizo zinduliwa Jana Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2023/24 jezi Ipi Kali Hapo⁉️

𝗠𝗪𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗛𝗔𝗣𝗔! Tukutane saa 9:45 Alfajiri🔰💪🏽
07/07/2023

𝗠𝗪𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗛𝗔𝗣𝗔!

Tukutane saa 9:45 Alfajiri🔰💪🏽



Mwamba wa soka ametundika daruga
22/03/2023

Mwamba wa soka ametundika daruga

22/02/2023

LIGI KUU: YANGA YAIZIDI SIMBA POINTI 8

Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya KMC umeifanya Yanga iendelee kuongoza ikiwa na pointi 62, ikifuatiwa na Simba yenye 54

Goli limefungwa na Clement Mzize, KMC imebaki na pointi 23, nafasi ya 12

Soma https://jamii.app/Yanga62

22/02/2023

Katika moja ya habari kubwa ya kiburudani ambayo imesambaa sana mitandaoi ni hii ya Tuzo za Amapiano ambapo majina ya wasanii kutoka Afrika Kusini wanaowania Tuzo hizi pamoja na majina ya wasanii wa nje ya Afrika Kusini kwenye kipengele cha 'Friends of Amapiano' kutolewa kwa wasanii kuwani tuzo hiyo hivi leo.

Kutokana na muziki huu kuwaa maarufu Duniani na kwa bara la Afrika muziki huo kufanywa zaidi katika mataifa ya Afrika Kusini, Nigeria na Tanzania.

Katika kitu ambacho wengi wameshangazwa ni baada ya kuona wasanii kutoka Tanzania waliofanya muziki huu kutotajwa kwenye tuzo hizo lakini pia kukosekana kwa wimbo au jina la msanii kutoka Tanzania au Afrika Mashariki licha ya muziki huo kufanywa zaidi nchini Tanzania.
-
Kwenye Vipengele ambavyo palitegemewa kuwa na msanii kutoka Tanzania kuwepo na badala yake wasanii 4 kutoka Nigeria na wengine kutoka Afrika Kusini ndio wamejazana kwenye kipengele hizo.

Friends of Amapiano
Ami Faku - Afrika Kusini
*Asake - Nigeria
Beast - Afrika Kuisini
Cassper Nyovest- Afrika Kusini
*Davido- NNigeria
Dladla Mshunqisi - Afrika Kusini
Mac Gee - Afrika Kusini
Msaki - Afrika Kusini
Vetkuk & Mahoota - Afrika Kusini
*WizKid - Nigeria.
-
Most Viral Amapiano Song Of the Year
“Ameno Amapiano Remix (You Wanna Bamba)” by Goya Menor & Nektunez

Kwa wasanii hawa inaonyesha ni kwa namna gani muziki wetu haufuatiliwi Afrika Kusini?? nyimbo za wasannii wa Tanzania hazijafanya vizuri mbali ya kushirikisha wasanii kutoka Afrika Kusini??

Unahisi kwanini nyimbo kutoka Tanzania hazikuwepo?? hazikustahili?? unahisi nyimbo gani za Amapiano kutoka Tanzania zilistahili kuwepo kwenye tuzo hizo??

Taja ngoma tano za Amapiano ambazo unahisi zimefanya vizuri zaidi.

Written by

Address

Mbeya To Mwanza
Tunduma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga Africans home of champions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share