11/11/2023
Kuhusu kujuta wala haijawahi kuwa dawa ya makosa yetu ya kila siku' japo ukitubu na kuamini ndo mwanzo wa maisha mengine, hatuna picha mpya wala mwonekano mpya coz hatuna tulichokiongeza kwenye maisha yetu halisi zaidi ya UMRI tu' sisi ndio walewale vizazi ambavyo tumezaliwa kuja kujua nini maana ya maisha' vizazi ambavyo hakuna anae amini k**a sisi tunajipambania wenyewe kwenye every things japo msaada wa wachache wanaoamini nakutaka tufanikiwe tunaupataga kwa masharti mengi zaidi ya mnavyoelewa ila kikubwa ni kwamba haya tunayoyaishi ndio maisha yetu halisi japo tunataka kubishana na ukweli na kamwe haitoweza kubadilika, to sisi Eliimani Merica Timotheo Merica # wazee wangu muishi sana asee Merica Kahola NA MAMA MZIZI