SMART farmers tz

SMART farmers tz Ushauri kuhusu ufugaji na kilimo kibiashara, Matibabu kwa mifugo,
Tunauza madawa ya mifugo na kilimo

07/05/2025

SMART farmers tz na Kibaha Mobile Veterinary Clinic inakutakia heri ya siku ya kuzaliwa chief surgeon wetu Dr Thomas. Uwe na maisha marefu Ili tuendelee kuhudumia jamii yetu kwa huduma zetu za kifalme.

Mtamba aina ya Holstein Friesian, Ana mimba miezi 3, mama yake Ana historia ya maziwa Lita 20, yupo Arumeru Arusha, mtej...
14/06/2022

Mtamba aina ya Holstein Friesian, Ana mimba miezi 3, mama yake Ana historia ya maziwa Lita 20, yupo Arumeru Arusha, mteja ambaye yupo serious nipigie kwa namba +255714919877/ +255759520305 au WhatsApp kwa namba hizo hizo

14/04/2022

Tunatoa huduma za matibabu kwa njia ya operesheni.
Ng'ombe anayeonekana hapa kwenye hii video alishindwa kuzaa kwa njia ya kawaida tukamzalisha kwa njia ya upasuaji.

Tunatoa huduma zetu ndani ya mikoa ifuatayo, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam.

Huduma nyingine tunazotoa ni
1. Ushauri kuhusu ufugaji kibiashara.
2. Ushauri kuhusu kuanzisha miradi ya ufugaji.
3.Kupandisha ng'ombe na nguruwe kwa njia ya mrija(Artificial insemination).
4. Kutoa chanjo kwa wanyama wote na kuku.
5. Kujenga mabanda ya mifugo.
6. Kusimamia mashamba ya mifugo.
7. Uchimbaji mabwawa ya samaki.
8. Kufundisha mbwa tabia mbalimbali mfano tunafundisha mbwa kwa anili ya ulinzi.
9. Tunauza ng'ombe Bora wa maziwa.
10. Tunauza nguruwe wazuri wa kisasa.
11. Tunatoa elimu ya ufugaji wakuku kibiashara.

Wasiliana nasi kwa namba +255714919877/ +255759520305

Address

KILALA
Usa River

Opening Hours

Monday 07:45 - 18:45
Tuesday 07:45 - 18:45
Wednesday 07:45 - 18:45
Thursday 07:45 - 18:45
Friday 07:45 - 18:45
Saturday 07:45 - 18:45

Telephone

+255714919877

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SMART farmers tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share