Lunda the focus

Lunda the focus Discover the power of Aloe Vera. From Plant. To Product. To You.

Meet the people, tour the farms and see the processes that make Forever's Aloe the best in the world!

Athari za Madin ya Flouride Kwa Afya yako!! October 07, 2016Shirika la afya duniani(WHO) lilipendekeza kiwango cha fluor...
25/05/2020

Athari za Madin ya Flouride Kwa Afya yako!!
October 07, 2016
Shirika la afya duniani(WHO) lilipendekeza kiwango cha fluoride kwenye maji ya kunywa kiwe 0.5-1 milligram/lita.

Kutokana na madhara makubwa yanayotokana na Fluoride, mataifa yaliyoendelea yanafanya mpango wa kuiondoa kabisa katika maji ya kunywa ( soma Dr Dean Burk, mgunduzi wa Biotin, amefanya kaz National Institute of Cancer marekani kwa miaka zaidi ya thelathini)

Fluoride iliyo katika dawa za meno imewekwa katika kiwango kikubwa sana ndiyo maana wameandika ukimeza bahati mbaya muone daktari. Pia watoto wasimamiwe wakiwa wanaswaki!

UCHAMBUZI WA MADHARA YA FLUORIDE

1.UBONGO

Uchunguzi wa kina wa kisayansi unaonesha kuwa kiwango kikubwa cha fluoride kinapunguza IQ( intelligence quotiet) kwa watoto ambao bado ubongo wao haujakomaa.

2. MIFUPA

Kiwango kikubwa cha fluoride kinadhoofisha mifupa na kupelekea watu wengi kuvunjika kirahisi haswa kwenye hips na kiwiko.

3. FIGO

Wenye matatizo ya figo wanashauriwa kutotumia fluoride kabisa. Ina madhara kwa figo zetu(fluoride induced nephrotoxicity)

4. MENO

Kiwango kikubwa cha fluoride hudhoofisha meno kwa kuyafanya yasiwe magumu hivyo kushambuliwa na bacteria kirahisi. Pia husababisha fizi kutoa damu. (Dental fluorosis)

5. THYROID

Fluoride husababisha watu kushindwa kutengeneza thyroxine hormone kwani huzuia Iodine isijishike kwenye kemikali inayotumika kutengeneza thyroxine hormone. Mwshowe tunaishia kupata goitre na matatizo mengine yatokanayo na upungu wa homoni hii mwilini

6. CANCER

Fluoride ni chanzo kikubwa sana cha kansa kwa binadamu. Inapojikusanya kwa muda mrefu matokeo yake ni mabaya sana. (Dr Dean Burk, USA)

Ushauri: tumia dawa ya meno ya Forever Bright Toothgel HAINA FLOURIDE KABISA

13/05/2020

Operesheni ondosha vitambi kwa kina mama.
Wamama wengi siku izi ukikutana nao wanaonekana k**a ni wajawazito, lakini si wajawazito, wana vitambi ama viriba tumbo k**a wanaume, hii si hali ya kawaida, wengi wao hawajui kwanini wanakuwa na viriba tumbo hivyo na mbaya zaidi hawajui wafanyenini kuondokana na vitambi hivyo. Vitambi hivyo vina athari nyingi sana, za kiafya na kimaumbile.

Kiafya.
Kuendelea kuruhusu vitambi hivyo kukua pasipo kuchukua hatua stahiki upelekea mtu kupata matatizo mengi ya kiafya yakiwemo:-
· Mgandamano wa taka na sumu tumboni au Corprostasis
· Kukosa choo au Constipation.
· Kiharusi au Stroke
· Uzito uliozidi au Obesity.
· Matatizo ya moyo. Cardiovascular diseases
· Shinikizo la juu la damu au High blood pleasure
· Kisukari au Diabetes
· Saratani. Au cancer
· Kukak**aa kwa mishipa au arterioscelosis. Nk

Haya ni baadhi tu ya magonjwa yanayoweza kumshambulia mtu iwapo hatachukua hatua kuakikisha anakuwa na mwili wenye afya kuwa kutorusu viriba tumbo. Hii ni kwa wanawake na wanaume pia, japo wengi wa wanaume wana fikra potofu kuwa kitambi ni afya au mafanikio Fulani, hiyo si kweli, bali ni matatizo.

Kimuonekano.
Mwanamke anapokuwa na kitambi uwa anapoteza muonekano, avaapo nguo hapendezi kwa sababu tumbo ndio linatangulia, hii ni tofauti sana na tumbo la ujauzito, kwani lile uwa na kwa muda tu na uwa lina mavazi yake maalumu pia ambayo uwafanya baadhi yao kuonekana wanapendeza wanapokuwa atika hali hiyo.
Kiriba tumbo upoteza kabisa shape ama figure ya mtoto wa k**e, matokeo yake ni kuwa hakuna nguo atakayovaa ikampendeza, hii imepelekea kinamama wengi kulazimika kuvaa madela tu k**a wajawazito kwa kuwa hakuna nguo inayompendeza.

Kampeni hii imekuja maalumu kwa ajili yako wewe mama ambaye unalazimika kuvaa madela muda wote k**a mjamzito wakati huna mimba, weye ambaye upendi kuwa na kitambi na tena wakichukia lakini hujui ufanye nini, weye ambaye watamani kuwa na figure ipendezayo ambayo yavutia wengi

Kwa ushauri comment namba yako ya WhatsApp nikuunge kwenye group la ushauri na mafunzo bure ya kupunguza uzito
+255772039898

Haina chemical ya flouride ambayo kwa mujibu wa Dr. Bean Burk  inasababisha kansa na kansa inauwa kwa haraka sana
13/05/2020

Haina chemical ya flouride ambayo kwa mujibu wa Dr. Bean Burk inasababisha kansa na kansa inauwa kwa haraka sana

10/05/2020

Hello mamboz.

Aisee nimeanza biashara na Forever Living Products hivi karibuni, nilishaisikia zamani ila sikuiamini nikaiachaga. Maana nilikua sioni namna gani nitauza au kushawishi watu wengine kujiunga.
Sasa nimepata nafasi ya kukutana na mtu mzoefu na mwenye mafanikio akajibu maswali yangu na hofu zangu zimeondoka. Nitafanya mkutano mdogo kupitia WhatsApp video call na rafiki zangu wachache kesho jumatatu tarehe 11/5/2020 saa kumi na nusu jioni ili kuonyeshana hii fursa ili mtu uielewe vizuri kisha utafanya tathmini k**a inakufaa au la.
Je utapenda kuja kujifunza zaidi?K**a hapana haina shaka nitaelewa. K**a uko tayari kushiri tuma msg andika neno (I'm Ready) kwenda namba +255772039898

ALOE BRIGHT TOOTHGEL KWA AFYA YA MENO NA KINYWALeo naomba nikushirikishe kitu.!! Huenda wengi wetu tulikua hatujangundua...
01/05/2020

ALOE BRIGHT TOOTHGEL

KWA AFYA YA MENO NA KINYWA

Leo naomba nikushirikishe kitu.!! Huenda wengi wetu tulikua hatujangundua bado! Ni juu ya dawa za MENO tunazotumia..

Hua ZIMEANDIKWA "FLUORIDE TOOTHPASTE"
Hebu chukua mda wako kusoma juu ya madhara ya' fluoride' nyingi mwilini.
Haijaishia hapo wao wenyewe wakatupa mashariti ya dawa zao, geuza dawa yako ya meno nyuma kuna maandishi madogo yamezungushiwa box!
YAMEANDIKWA HIVI;

1. Do not swallow. Spit and rinse thoroughly after brushing. (usimeze,tema na osha na maji mengi/sukutua)

2. Children below 6 years to be supervised by adult while brushing. Use only a pea sized amount or as directed by dentist. (watoto wa chini ya miaka sita wasimamiwe na wakubwa wakati wa kuswaki na itumiwe kiasi kidogo cha dawa k**a punje ya njegere au k**a itakavyoelekezwa na daktari wa meno)

3. Visit your dentist regularly. (tembelea daktari wako wa meno mara kwa mara)

Kwanini basi kumekua na mashart ya kutumia dawa za meno?
Ni mara ngapi umekua ukimeza bila kutarajia?
Watoto wetu ni mara ngapi tumekua tukiwasimamia?

Kampuni ya forever living inakuletea dawa ya meno isiyokua na fluoride na wala madhara yoyote kwa watoto. Ni dawa itengenezwayo na mmea wa aloe vera na asali. Kazi ya fluoride kinywani inafanywa na aloevera na asali.
-kulinda fizi zako
-kulinda meno yako yasitoe damu
-kulinda kinywa pia k**a kinatoa harufu mbaya isiyoisha
-endapo umemeza au mtoto kameza basi kapata antibiotic itokanayo na asali na loevera kwa afya yake.

Pata Dawa yako sasa
+255772039898

This is beginning of the journey
11/04/2020

This is beginning of the journey

04/02/2020

SABABU KUU KUMI ZA KUTUMIA KINYWAJI CHA FOREVER ACTIVE BOOST (FAB).. FAB ni kinywaji chenye kukurutubisha na kukuongezea nguvu kitokanacho na Guarana, Aloe Vera, Cranberry na Schizandra vinavyoongeza Vitamin B3, B5, B6, B12, Amino acids, Wanga na Protini.

FAIDA ZAKE
1 Ina kiwango kidogo cha Calories ukilinganisha na vinywaji vingine vya energy.
2 Kuongeza nguvu kwa wanamichezo, madereva wenye kazi nyingi.
3 Hukupa nguvu ya hapo kwa hapo na ya kudumu kwa muda mrefu
4 Kina ladha nzuri
5 Haina Caffeine wala sukari ya kutengenezwa bali ina Caffeine ya asili (tunda la GUARANA)
6 Huboresha tendo la ndoa (Longevity na Libido)
7 Inasaidia maumivu ya kichwa.
8 Husafisha sumu mwilini hasa kwenye mafigo na maini.
9 Husaidia kuondoa HANGOVER
10 Imepitishwa na Anti-Dopping (Hakina kemikali)

Kwa Maelezo zaid wasiliana nasi kupitia namba +255772039898

Address

Stone Town
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lunda the focus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lunda the focus:

Share