miliki biashara yako

miliki biashara yako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from miliki biashara yako, Business Supply Service, Zanzibar City.

26/02/2026

📺🔥 Badilisha TV yako iwe smart kwa Android TV Box!
Pata Netflix, YouTube, DSTV, na app nyingi zaidi kwa bei nafuu.
📞 Wasiliana nasi sasa! 0676093674

Weka oda yako mapema

*Jumapili hii Zanzibar KARIAKOO HALL event ni bure dm nikupatie kadi  yako  unaweza Kuja na rafiki yako pia  ☺️ kupata m...
20/04/2024

*Jumapili hii Zanzibar KARIAKOO HALL event ni bure dm nikupatie kadi yako unaweza Kuja na rafiki yako pia ☺️ kupata maarifa sahihi ya biashara gani unaweza kufanya kwa muda wako wa ziada kwa mtaji mdogo bila ya kuathiri shughuli zako za kawaida Tuma neno KADI YANGU
WhatsApp no; 0676093674 AU 0777622462 au tupigie kwa namba hizo hizo*📩

16/01/2023
Njia Rahisi Ya Kuingiza Milion na zaidi kila mwezi kwa kutumia muda  wako wa ziada.Hakuna kitu kinakera k**a kukosa pesa...
15/10/2022

Njia Rahisi Ya Kuingiza Milion na zaidi kila mwezi kwa kutumia muda wako wa ziada.

Hakuna kitu kinakera k**a kukosa pesa mfukoni.

Hari hii imewapelekea watu wengi kutamani kumiliki biashara lakini hawajui waanzie wapi.

Cha kusikitisha zaidi waliomaliza shule hawajapata ajira miaka inakatika.

Kubwa Zaidi Wengi wako mtaani na hawana shughuri yeyote ya kuwaingizia kipato.

Wengine wamechoka kuomba hela ya vocha, sabuni na nguzo kwa wazazi kila siku.

Wachache ni mama wa nyumbani ambao wangetamani kupata shughuli yeyote ya kuwaingizia kipato.

Mbaya Zaidi wachache walioajiriwa mshahara ni mdogo na haukizi mahitaji kabisa.

K**a nawe ni mmoja kati ya hao, na ungependa kumiliki mfumo utakaokuingizia angalau hata Milion kwa mwezi

Basi huenda huu ujumbe unakuhusu ...

Najua changamoto unayopitia. Hata mimi nimepitia huko huko,
Ila nilichogundua ukitumia vizuri muda wako wa ziada unaweza kukuingizia pesa nyingi sana na kubadilisha Maisha Yako moja kwa Moja,
Kwa kuwasaidia tu uwapendao kuboresha Afya zao utaingiza pesa hizo.
Kitu kizuri zaidi shughuri hii utaifanya ukiwa popote hata Nyumbani kwa kutumia simu Yako tu.
Nimeamua kukuandalia video ya dakika 8 itakayokueleza hatua kwa hatua namna gani unaweza kutengeneza pesa Kwa kutumia muda wako wa ziada.

Na hii Video Nitakutumia kwenye WhatsApp yako Bure

Ili kupata video hii Sasahivi kwa urahisi save hii namba (salum) kwenye simu yako kisha tuma ujumbe WhatsApp 0621754674 (Milion) na utatumiwa video yote Bila gharama yeyote.

P.S Tangazo hili halitokuwepo hewani Muda wote, Ili upate video hii Sasahivi Save namba hii 0621754674 (salum) kwenye simu yako Kisha tuma ujumbe WhatsApp (Milion) na utatumiwa video mala moja.!

Au Piga Simu 0621754674

Habari Yako tunasaidia Watu wanaotaka kuongeza kipato Kwa muda wao wa ziada Au ambao hawana kabisa kipato hivo Karibu sa...
11/10/2022

Habari Yako

tunasaidia Watu wanaotaka kuongeza kipato Kwa muda wao wa ziada
Au ambao hawana kabisa kipato hivo Karibu sana tutakusaidia kuingiza kipato kuanzia millioni Moja na kuendelea Kwa Kila mwezi Kwa kukupatia fursa ya biashara itayobadilisha historian ya maisha Yako kabisa
Wasiliana nasi Kwa namba +255621754674

Tunahitaji wale TU walio na utayari na wenye kujifaham na wenye malengo ya kutimiza ndoto zao karibuni Sana kupata muongozo wa hili biashara

Address

Zanzibar City

Telephone

+255777622462

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when miliki biashara yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share