KWA Basaidi SHOP

KWA Basaidi SHOP Ni duka lililosajiliwa kisheria na kutoa huduma ya vyakula aina zote. Vifaa vya ujenzi aina zote. Ng Biashara ya vyakula aina zote jumla na reja reja.

vifaa na vombo vya matumizi ya nyumban aina zote. vifaa vya fitingi ya umeme na maji aina zote. vifaa vya ujenzi wa nyumba aina zote pamoja na vifaa vya ujenzi kwa mafundi. Nguo aina zote. vifaa vya uvuvi baharin aina zote pamoja na vifaa kwa kutengenezea majahazi au mitumbwi. Gesi ya aina ya orynx kwa ujazo tofauti na vifaa vya ukulima wa mkono aina zote pia huduma ya NMB WAKALA pamoja an huduma

zetu nyingine zote huduma hizi zote zinapatikana dukan hapo lilipo mtaa wa kinduni mkabala na duka la walim

20/05/2022

Karibuni kwa mahitaji ya cement

06/10/2020

Saruji imeingia wahi mapema kwa bei nafuu

20/10/2019

KARIBUNI SANA KWA HUDUMA ZETU ZOTE ZENYE UBORA WA KIPEKEE NA BEI NAFUU

20/10/2019

SIFA MUOMBAJI
AWE NI MTUMBATU MWENYE UWEZO WA KUTUMIA SIMU YA TACHI NA COMPUTA PIA AWE NA UWEZO WA KUSOMA NA KUANDIKA AWE TAYARI KUFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA YOYOTE NA AWE MSIKIVU KWA WALIO JUU YAKE

Address

Tumbatu
Zanzibar City
1291

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KWA Basaidi SHOP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share