04/04/2015
Habari
njema kwa mashabiki we2 wote leo nileo asomwana aeleke jiwe
itashi1ki mashindano ya kusaka bigwa wa miaka kumi ya
Coconut fm 2nawakaribisheni mashabiki we2 wote kuja kuishabikia 2na mambo mazuri 2meandaa kwa mashabiki we2 2ko kiushindani zaid leo hatoki m2 karibuni woteeeee :)