Qiet filimasoni 66

Qiet filimasoni 66 Kutoka kiuchümí

06/08/2026
Habari njema kwa watumiaji wa mafuta nchini. Kuanzia Jumatano, tarehe 01 Julai 2026, bei kikomo za bidhaa za petroli zim...
01/07/2026

Habari njema kwa watumiaji wa mafuta nchini. Kuanzia Jumatano, tarehe 01 Julai 2026, bei kikomo za bidhaa za petroli zimeshuka kutokana na kupungua kwa bei za mafuta katika soko la dunia.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), katika kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria, imesema kutokana na kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia, bei za mafuta katika soko la hapa nchini zinashuka kwa Shilingi 96 kwa lita ya petroli, Shilingi 151 kwa lita ya dizeli na Shilingi 242 kwa lita ya mafuta ya taa.

Kushuka huku kunatokana na mabadiliko katika soko la dunia, ikiwemo makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Marekani na Iran kuhusu vita inayoendelea eneo la Mashariki ya Kati, pamoja na kuruhusu meli za mafuta kupita katika Mlango Bahari wa Hormuz. Hatua hizo zimechangia kupunguza ugumu katika usafirishaji na upatikanaji wa mafuta duniani.

Hata hivyo, wastani wa bei katika soko la dunia bado haujarejea katika kiwango kilichokuwepo kabla ya kuanza kwa vita hiyo tarehe 28 Februari 2026.

Happy Birthday to Me 🎂🎈Leo ni siku ya kipekee sana kwangu, ninaposherehekea kutimiza miaka 27 ya maisha yangu. Ninamshuk...
25/05/2026

Happy Birthday to Me 🎂🎈
Leo ni siku ya kipekee sana kwangu, ninaposherehekea kutimiza miaka 27 ya maisha yangu. Ninamshukuru Mungu kwa kunipa afya, uhai, nguvu na nafasi ya kuona mwaka mwingine mpya wenye baraka na mafanikio.

Mimi ni Eddy-Edwin Jonh Mwinami, mtoto wa ROI WIKUNGE na BABA JOHN MWINAMI. Nawashukuru sana wazazi wangu kwa malezi, upendo, ushauri na kila juhudi walizofanya kuhakikisha nafika hapa nilipo leo. Bila wao, mengi yasingewezekana.

Miaka 27 sio safari ndogo. Ni miaka ya kujifunza, kupambana, kuanguka na kusimama tena kwa nguvu zaidi. Ninaamini mbele yangu kuna mafanikio makubwa, furaha, amani na maisha bora zaidi.

Happy Birthday to me 🎉
May this new age bring new opportunities, blessings, success and endless happiness in my life.
27 looks good on me ✨❤️

tulipo ishia tunaendelea nataka vijana silias 5 niwaunganishe uwe kingilio 20,000
10/02/2026

tulipo ishia tunaendelea nataka vijana silias 5 niwaunganishe uwe kingilio 20,000

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Qiet filimasoni 66 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Qiet filimasoni 66:

Shortcuts

Share