MJUWE WISE MAN

MJUWE WISE MAN page ya matukio page ya matukio na matendo y wise man ambaye anahitaji kufika mbali kimaisha

Yaaa kwa mara nyingine tawi jipya hilo la zanzibar mchina mwanzo wote mnakaribishwa
25/06/2018

Yaaa kwa mara nyingine tawi jipya hilo la zanzibar mchina mwanzo wote mnakaribishwa

wewe tu kuja na kutoa oda movie unayo itaka
08/10/2016

wewe tu kuja na kutoa oda movie unayo itaka

karibuni katika libraly yetu mbagara kwa aina zote za movie
08/10/2016

karibuni katika libraly yetu mbagara kwa aina zote za movie

08/07/2016

Kwa wapenzi wa movie ashoka imetoka leo 320-330 kazi kwako

03/07/2016

ni kijana ambaye tangu utotoni hakufikiri elimu ya darasani inge mtoa kimaisha hivyo akawa na mipango yake ya chini chini ili afikiri biashara gani atafanya alitafakari na kupata jibu na ukweli hakupata maksi nzyr katika mtihani wake japo alifaulu hivyo ikampelekea yeye uendelea kufikiria mengi makubwa ili kuiweka familia yake katka hathi na kujipa moyo kwa kutokuwa mchoyo wa kutoa pesa ili mwenyezi amuongeze na kumnyooshea katika mipango yake na kweli taratibu baada ya mda akapata kazi katka kampuni hivyo alifanya kazi hiyo japo katka ajili yake hakuwekea kuw atafanya milele hapo kwakuwa anapenda kuwa mfanya biashara ambaye atapambana na kila changamoto kuakikisha familia yake na mzazi wake wana kuwa katka maisha sio mazury sana na wala sio mabaya na kutokana ana moyo wa kuwa saudia vijana wenzake na kupenda kukaa na wafanya biashara ili asikilize changamoto mbali mbali zinazo wakuta na kwenda kwenye daftar lake na kutafuta majibu na kuwapelekea hivyo akapendwa na wengi na kumfanya kukubalika japo umri wake na wao hauku fanana Tutaendelea sehemu ya 2 mjuwe wise man

01/07/2016

Karibu katika kumjuwa wise man utapata mengi na kujuwa mengi kuhusu kijana huyo mwenye ndoto nyingi ambazo kila wakati unapo sogea mwenyezi mungu humnyooshea

Address

Mwembe Tanga
Zanzibar
0786693477

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MJUWE WISE MAN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share