25/11/2025
๐ TUNASHONA NA KUPRINT SASHI ZA MAHAFALI
Pata SASHI YA MAHAFALI yenye ubora wa hali ya juu kwa Tsh 16,000 tu (kushona + kuchapisha).
Rangi za Sashi Zinazopatikana:
- Nyeusi, Nyeupe, Dark Bluu, Maroon, Kijivu n.k.
- Maandishi ya Gold, Nyeupe au Nyeusi (kulingana na rangi ya sashi)
๐ Tunaprinti:
- Jina lako, Kozi, na Chuo
- Maandishi ya Kiarabu
- Logo ya Chuo chako
- Full color design
- Pia unaweza kuleta design yako mwenyewe!
๐ Tunapatikana Michenzani - Zanzibar
๐ฒ Weka oda siku 2 kabla kupitia:
0674 213 360 / 0776 803 909
๐ฆ Tunakuhakikishia kazi safi, ya haraka, na yenye ubunifu!