Dady sumaiya

Dady sumaiya Buy and sell rice

09/12/2021

Rice is in prenty

13/06/2019

STORY YA KUHUZUNISHA
matatizo yalianza pale baba alipolazimisha niolewe na mtu ambaye sio chaguo langu.
Mtu mwenyewe alikuwa mlevi, mvuta sigara na asiye na tabia nzuri.

Siku moja nikiwa mjamamzito alinigombeza akanishika na kunirusha chini, nilidondokea tumbo langu, nilisikia maumivu makali maana mimba yenyewe ilikuwa ina miezi 8 wiki mbili tu zilibakia kujifungua.
Niliamua kuondoka na kwenda nyumbani nilipofika mama alinichukua akanipeleka hospitali docta aliponipima aligundua kuwa mimba yangu imeharibika na ninahitaji upasuaji wa haraka kuiondoa ili kunusuru maisha yangu

Nilimuuliza docta k**a mtoto bado ni mzima akasema kuna uwezekano mkubwa atakuwa ameshakufa.
Nilifanyiwa upasuaji mtoto alitolewa akiwa dhaifu hawezi hata kupumua akawekewa Oxygen ya kumsaidia bahati nzuri mtoto akapona.
Ililazimika pia kutoa kabisa kizazi changu maana kilikuwa kimeharibika vibaya hivyo sikuwa na uwezo wa kuzaa tena.

Sikutaka kamwe kurudi tena kwa mme wangu niliamua kumlea na kumtunza mtoto wangu wa pekee tena wakiume.
Nilijitahidi kumsomesha kwa kila hali mpaka akahitimu chuo kikuu.Miaka miwili baadaye alifanikiwa kupata kazi ambayo iliweza kumngizia pesa nzuri

Tarehe 2 mwezi wa kwanza aliniita niende mjini akanipatie zawadi ya mama bora kwenye siku ya wanawake duniani.
Nilijisikia furaha sana na nikapanga kwenda siku ya tarehe 5.

Siku ya tr 5 ilipofika nilijaribu kumpigia simu na ikawa haipokelewi
kwa haraka niliondoka nyumbani kuelekea kwake alipokuwa akiishi,nilikuta mlango ukiwa wazi na sikusita kuingia ndani ila nilichokikuta sikuweza kukiamini kwani mwanangu na zawadi zake alikuwa ameanguka chini yuko mahututi karibia kukata roho na kila kitu ndani kilikuwa kimeibiwa.

Nilikimbia kituo cha polis na kukodi gari tukamwahisha hospitali na mpaka sasa bado amezima hawezi hata kufungua macho na uhai wake upo kwa usaidizi wa mashine.

Ninamaumivu sana namlilia mwanangu na ninahisi wakati wowote naweza kuambiwa amekufa. yeye ndiye tegemeo langu na mtoto wangu wa pekee katika dunia hii.
Tafadhari muombee mwanangu asifariki.
Mungu amponye mwanangu....

type **AMEN**
pia unaweza ku-shea post hii na usisahau kulike page,kupenda ukurasa.

09/06/2019

Hello

04/06/2019
23/04/2019

Address

Naboa Road
Mbale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dady sumaiya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share