LUPE kashindi Tujumuike na maisha

LUPE kashindi Tujumuike na maisha kila binadamu unae muona anabeba asilimia 2% nazaid zakuku fanikisha wewe ndani ya maisha yako

  ZAIDINiliwai kusoma sehemu kutoka kwa  mwadishi mbobevu  kwa utafiti alie ufanya kwamba "Alie vumbuwa ndenge ya kusafi...
09/23/2023

ZAIDI

Niliwai kusoma sehemu kutoka kwa mwadishi mbobevu kwa utafiti alie ufanya kwamba

"Alie vumbuwa ndenge ya kusafirisha watu njia ya angani eti ajafikisha asilimia 15 za akili alio Pewa binadamu kutoka kwa MUNGU""

SWALI kwako toka uzaliwe mpaka ivi unajiona unatumia asilimia ngapi ya akili yako ulio Pewa
... siku ukijitaidi kufikisha asilimia 17 utakuwa umefaidisha ulimwengu vitu vingi sana

Kumbe kwakunjifaidisha wewe inaomba asilimia chache thu

Chukua mahamuzi kutumikisha AKILI yako nimoja wapo ya zawadi uliopewa na MUNGU unawezo wakufanya utachotaka kufanya niwewe kuchukuwa atuwa kushirikisha akili yako ndani ya MAISHA YAKO.

Aksante kwakusoma nakumaliza kwa upendo ulionayo nahamini itamfikia NDUGU, njamsha, na marafiki ili wapate kunjifunza pamoja nasi.....

  zaidi    Kwenye maisha inakuwa nijambo lalazima sana kukutana na watu wa namna hii ususani Dunia ya kisasa  bila kusao...
09/22/2023

zaidi

Kwenye maisha inakuwa nijambo lalazima sana kukutana na watu wa namna hii ususani Dunia ya kisasa bila kusao ulazima uyo unahomba sana angalisho ili usije ukahanguka Mahana leo hii Kuna watu wame hanguka kisa watu Hao

Kwanza kabla sijaendelea niwataje watu hao wanangawanyika kwa makundi ma nne[4]

1@ WAZAZI uwezi kuwa nani bila kuwa na mzazi nafikiri hii imeheleweka leo hii Kuna wazazi wanaosababisha watoto wao kuwa watu wa kubwa pia Kuna wengine wanao sababisha watoto wao kua watu kawaida hadi kuwa watu chini kabisa ...

2@ WALIMU WA KANISA / SHULE :: niwatu ambao upewa uwaminifu sana Tena sana neno analopaswa kuongea inakuwa rahasi mtu kuamini na kuyatendea kazi mahana asilimia ya wengi apadunuani wanahamini mungu yupo na kwenda kwake kukanisa kumsaidia kumaribia mungu kwakusikia neno lake ivyo MWALIMU anaweza naye kukupotosha au kukuelimisha

3@ MWENZA : unapomwani yeye basi anakua anachukuwa asilimia nyingi sana za kukufelisha au kukufanikisha

4@ MARAFIKI :: awa niwatu unao kahaa nao kila wakati Wasiku tambia zao zinaweza kukufaha au kukuteketeza .
.....MAKUNDI yote ayo Yana uwezo wa KUKUFELISHA // KUKUFANIKISHA
niwewe kuwa makini sana chakufahamu ili ujikinge nawao niwewe ISITOKEHE SIKU UKUBALI NENO ASI KUTOKA KWAO hasa neno AHUWEZI..

Shukrani sana kwa mda wako mkubwa wenye samani unaweza share kwa mtu mwengine nayeye apate kunjifunza .

zaidi @ LUPE

SOMO             MUNGU #kumbuka tumehanza wengi mwaka wa 2022  ila atujafika wote  mwaka huu wa 2023_ wapo walio kufa ka...
01/02/2023

SOMO

MUNGU #

kumbuka tumehanza wengi mwaka wa 2022 ila atujafika wote mwaka huu wa 2023

_ wapo walio kufa kabisa hadi kufikia atua ya kuzikwa .......

_wapo walio shindwa kutimiza walicho kusudia mwaka uyo .......

_Wapo wanao KUFA BILA KUZIKWA
hao niwale wanao kosa mwelekeo nikipi wakifanye ili wa ishi
Wanafikia hatua ya kusukuma SIKU na wala sio kuhishi SIKU .......

MIMI LUPE "nimekuhandalia makala hii ili TUJUMUIKE WOTE KWA PAMOJA TUSHUKURU MUNGU SOTE ,

kumbuka wewe upo hai ,, aujakufa kufikia atua ya kuzikwa ivyo una uwezo wa kufufuka na kuinuka tena sema
ASANTE MUNGU
RUDILIA HATA MARA ×3

Asante Mungu
Asante Mungu
Asante Mungu ....

Kwa undani zaidi kuhusu mambo ya Mungu wetu
Basi nakukaribisha
KWA NAKALA YA

# utajifunza mengi......

Nikutakie mafanikio TELE
mwaka huu wa 2023..

From : LUPE

WOTE #

12/14/2022

Somo
YANGU #

Tujumuike wote

Duniani kuna watu wengi ambao nivingumu sana wewe kuwafaham k**a ni wangapi
Na ilo wala isikuchoshe

MAFANIKIO "nijambo kila mtu ambaye yupo duniani anapenda limtokee ivyo mafanikio aya fanani

Mambo 3 ya kuzingatia ili ufanikiwe
✓Kwanza tambua nikitu ngani kikubwa ambacho unapenda ufanikiwe

Mf :wapo wanao penda kufanikiwa
A/ stanaa MPIRA ,MZIKI, UWINGIZAJ, nk.......

B/ Muhubiri , kiongozi wa inch , mkulima bora,
Kazi za mikono
nk.......

✓TAFUTA WALIO TANGULIA KUFANIKIWA ZAIDI YAKO

*ifamike kwamba akuna anae weza kufanikiwa kitu chochote bila kutumia binadam
Mahana wao kwanza ndo utakao wahudumia ivyo ndo watakao kukuzirishia kwamba unahendelea vizuri ko tafuta mtaalam*

✓USIJIWEKE UKOMO WA MAFANIKIO YAKO/ PIA NJIAMINI UTAWEZA

*Vitu vyakujifunz avina mwisho
utakavyo jua kwamba KUKU ametanga mayayi 10
Ivyo inalazimu ujuwe vifaranga vita toka vingapi?

Ko futilia kwasana kitu icho unacho penda KUFANIKIWA

N.B" kila siku isipe bila kufanya chochote kuhusu ulicho changua kufanikiwa..

NATARIJIA MAFANIKIO MAZURI KUTOKA KWAKO.

Share kwa mwengine ili apate kujifunza
# ASANTE #

From LUPE
NIPO duniani..

11/29/2022

Somo
#

tujumuikewote
Duniani wapo watu wanao kua kwakila eneo lao
Wapo wanaokua KIFEDHA, UTAHALAM FULANI, CHEO KAZINI , n.k,,,,,,,,,
Meneo nimengi inayo kua watu kuyataja yote labda naweza kukuchosha ndugu msomaji

Kukua nitukio ambalo mzuri sana tena sana ila
Ningependa nipendekeze maeneo ya kukua katika maisha yako LEO twayongelea
Nitakribani maeneo 4 ijapokua nimengi sana ila zingatia aya

la wewe na MUNGU wako " ENEO ili ni eneo muhimu sana kuku kwalo mahna kuna janga tofauty yajitokeza kwenye maisha yetu bila kukua eneo ili kweli utakua mtu wakutokujiamini yani kujikataaa kwakuamini autoweza kupiga ATUA.

LA PESA" eneo ili ni eneo mzuri sana tena sana utafiti umefanyika sana kuhusu eneo ili
Kikubwa hapa niwewe kujuwa kiwango chako ulicho nacho kwasasa
*Hapa sitarajii kukosa jibu hata 0 ni njibu
Kumbuka leo tunahongelea KUKUA,
chakufuatia hapa usirusu kuridhika na idady yako yote ile...

" napo sema ujuzi inamahana tufahamu kwamba asilimia 78%
Yawatu wakiamka hadi kulala wanakua wamesha fanya UJUZI unao wafanya walipwe (pesa,au kitu n.k.....)

"akili najua hata wewe unahijua sana akili ivyo ivyo ushawai kuona watu wanao kosa akili

Ko wewe ambaye unayo basi njitaidi kuinguza AKILI YAKO.

NATARAJIA UKUAJI MZURI .

Share kwa mwengine ili apate kujifunza

# kujumuika na maisha.

From LUPE
NIPO duniani...

Address

Delaware City, DE
@

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LUPE kashindi Tujumuike na maisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LUPE kashindi Tujumuike na maisha:

Share