07/09/2024
Kuterez sio kuhanguk mbaya nikushindwa kunyanyuka
Sio kila Ushauri ukubali Mengine Yasuse Mahana sio Kila Mtu Akutakiyaye Mazuri Ahijalish ni nani , Kosa kubwa tonayo wanadam nikujivik uking Kisha Tunavimbiyana Tunasahau Kidole kimoja Akivunji Chawa Tujihazari Na hili Na tuache Ubishi na Dareva, Utata sio Utata ukitatuliwa na Nyumba bila headfather inakama Jeshi bila General Mwisho Mutaishiya kutanga tanga
📌 REMEMBER A SMALL LINK CAN SINK A SHIP