07/02/2026
π KARIBU OMS TAX SOLUTION LLC π
Katika OMS Tax Solution, tunaamini kuwa uhuru wa kifedha huanza kwa maarifa.
Dhamira yetu ni rahisi,
Kubadilisha ujuzi wa Tax kuwa uhuru wa kifedha.
Tunatoa huduma zifwatazo
β
Maandalizi ya tax za watu binafsi
β
Huduma za tax za biashara ndogo
β
Ushauri na mipango ya tax
β
Elimu ya kifedha
β
Msaada wa mwaka mzima
Lengo letu si kujaza TAX pekee, bali kuwasaidia watu binafsi, familia, na biashara kujenga utulivu wa kifedha kupitia elimu, huduma za kuaminika, na maamuzi sahihi ya kifedha.
Tunawashukuru wote wanaotuunga mkono katika safari hii.
π Wichita, Kansas
π (316) 365-2410
π§ [email protected]
OMS Tax Solution LLC
Kubadilisha ujuzi wa tax kuwa uhuru wa kifedha.