fursa_na_pesa93

  • Home
  • fursa_na_pesa93
Directions

fursa_na_pesa93 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fursa_na_pesa93, Professional Networking, .

Wakati wewe unajiambia mtaji nitatoa wapi Kuna watu wanaanza biashara uku WEWE endlea kusema maisha magumu
22/06/2023

Wakati wewe unajiambia mtaji nitatoa wapi Kuna watu wanaanza biashara uku WEWE endlea kusema maisha magumu

Darling sikia nikwambie KITU,1) HUWEZI furahisha kila mtu DUNIANI..We JITAHIDI kumfurahisha Mungu TU ndiye hulipa wema k...
05/06/2023

Darling sikia nikwambie KITU,

1) HUWEZI furahisha kila mtu DUNIANI..We JITAHIDI kumfurahisha Mungu TU ndiye hulipa wema kihalali.MWANADAMU ATAKUTENDA daima.

2)Sio kila jema utafanya kwa mwanadamu litahesabiwa kuwa jema,WEMA ni RAHISI kuitwa USALITI au UNAFKI k**a hutoufanya kwa uangalifu.

3)Ukiona uko kwenye mahusiano na moyo wako umetokea kumpenda mwingine basi jua huyo ULIYE mpenda wa pili ndio umempenda kweli.UKIMPENDA MTU HUWEZI penda mwingine...PENZI LA KWELI NI KUFULI la moyo,so ukimpenda tena basi jua HUKUPENDA yule wa kwanza .

4)Usiache jua likazama hujagusa moyo wa MUNGU katika kumtendea wema mtu MMOJA aliye kata tamaa ya maisha-Ongeza siku zako za kuishi kwa kumkopesha Mungu katika kutenda wema kwa wamtafutao Mungu katika machozi.

5)Usitoe taarifa za ziada kuhusu mtu uliyegombana nae kwa mtu mwingine...Amekuja kuchukua taarifa akaongeze chumvi mtaa wa pili..JIFUNZE KUKAA KIMYA.

6)You can't have TWO BEST FRIENDS CHIEF..CHOOSE ONE.Huwezi kuwa na mabesti wawili huo ni UDANGANYIFU WA MOYO... BEST FRIEND huwa ni mmoja ndo maana akaitwa BEST.

7)Ukipendwa na rafiki mwenye pesa kukuzidi basi na wewe ndugu yangu JIONGEZE, tambua una KITU umemzidi ndo maana anatumia pesa zake kukuweka..JIONGEZEE THAMANI kwa kukijua HICHO KITU na kilinde maana hicho ndo MTAJI WAKO.

I Love you DARLING.

Niambie upo mkoa Gani tuwasiliane Kwa Namba 0768294877
05/06/2023

Niambie upo mkoa Gani tuwasiliane Kwa Namba 0768294877

TUNA JAMBO LETU  mbeya UKIPANGA KUUDHULIA TUMA UJUMBE NAPENDA KUUDHULIA HILI NIKUANDALIE NAFASI #0768294877
05/06/2023

TUNA JAMBO LETU mbeya UKIPANGA KUUDHULIA
TUMA UJUMBE NAPENDA KUUDHULIA HILI NIKUANDALIE NAFASI
#0768294877

13/05/2023

Ni kesho hakikisha unahudhuria mafunzo haya ni muhimu Kwa ajili yako ewe mama wa nyumbn 👉mwajiliwa,mwanachuo usipange kukosa KABISA 😁😁

09/05/2023

Pia k**a wewe ni mpenda safari neolife inakupa FURSA ya kusafiri ndani na nje ya nchi bureee KABISA 🖐️ 🖐️

J mosi hii nitakuwa TUGHIMBE 🥺🥺pia nitakutana na team zangu zilizo mbali na mbeya 🙏🙏 hakikisha unanitafta Kwa Namba 0768...
09/05/2023

J mosi hii nitakuwa TUGHIMBE 🥺🥺pia nitakutana na team zangu zilizo mbali na mbeya 🙏🙏 hakikisha unanitafta Kwa Namba 0768294877

Tr 13 may jumapili  tutakuwa na mafunzo maalumu kuhusu FURSA zinazo tuzunguka , mafunzo haya yatakayofanyika tugimbe hot...
28/04/2023

Tr 13 may jumapili tutakuwa na mafunzo maalumu kuhusu FURSA zinazo tuzunguka , mafunzo haya yatakayofanyika tugimbe hotel kuanzia saa nane mchana hakikisha unahudhuria tuwasiliane Kwa Namba 0768294877

28/04/2023

Sisi hatufanyiiii tu biashara 👉👉 balu tunagusa maisha ya watu kiafya na kiuchumi

28/04/2023

Waza kuhusu kesho Yako 👆👆

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fursa_na_pesa93 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed business?

Share