Pam and Company Limited

Pam and Company Limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pam and Company Limited, Business service, Mbalizi Along Tanzam Road, Mbeya.

🔐 PAM Security Agency

🧹 PamSec Cleaning Services

🎉 Majestic Vibes Events

🚚 Hamisha Nasi Logistics

Huduma kamili za kitaalamu
📍 Mbeya & Songwe
🎁 Free site visit & quotation
📲 WhatsApp: 0627 748 871

22/05/2026

Tunapanga na kutekeleza Matukio ya kipekee yenye ubunifu, ubora na hisia za kipekee zinazodumu milele!

22/05/2026

Suluhisho la kisasa la uhamishaji usafirisha na utunzaji wa Mizigo na watu

07/05/2026

“Watu wengi wanafikiri ili umiliki kampuni ya ulinzi lazima uwe askari au uwe umetoka jeshi…

Sio kweli.

K**a ilivyo:
✔ mmiliki wa shule sio lazima awe mwalimu
✔ mmiliki wa hospitali sio lazima awe daktari

vivyo hivyo…

✔ unaweza kumiliki kampuni ya ulinzi hata k**a hujawahi kuwa askari.

Kinachohitajika ni:

- mfumo sahihi
- usimamizi mzuri
- uelewa wa biashara
- na mbinu za kupata wateja.

Watu wengi wanashindwa sio kwa sababu hawakuwa askari…
wanashindwa kwa sababu hawana mwongozo sahihi wa kuendesha biashara hii.

Ndiyo maana nimeandaa eBook inayoonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha na kushinda kwenye biashara ya ulinzi.

📘 Pata nakala yako sasa.
📲 WhatsApp: 0627748871”

06/05/2026

Usafi kwanza

06/05/2026

22/04/2026

“Unajua kwa nini kampuni nyingi za ulinzi zinafungwa ndani ya mwaka mmoja hapa Tanzania?”

“Watu wanaanza biashara hii bila mfumo wa kupata wateja, bila nidhamu ya operesheni, na mwisho wanashindana kwa bei badala ya ubora.”

“Mimi ni Mwakasamila P.A, Mwanzilishi na CEO wa Pam Security Agency…”

“Nimeandaa mwongozo kamili unaokuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha na kushinda kwenye biashara ya ulinzi—kuanzia usajili hadi kupata mkataba wako wa kwanza.”

“K**a unataka kuanza au kuboresha kampuni yako, nicheki WhatsApp 0627748871 upate eBook yako leo.”

22/04/2026

🚨 UNATAKA KUANZISHA KAMPUNI YA ULINZI TANZANIA?

Watu wengi wanaanza… lakini wengi wanashindwa.

Sababu?❌ Hawajui pa kuanzia❌ Hawana mfumo wa kupata wateja❌ Wanashindana kwa bei badala ya ubora

Sasa nimekuandalia MWONGOZO KAMILI utakao kusaidia:

✅ Kuanzisha kampuni yako hatua kwa hatua✅ Kujitofautisha na kampuni nyingine✅ Kupata wateja wako wa kwanza✅ Kujenga mfumo wa kazi unaoaminika

📘 Jinsi ya Kuanzisha na Kushinda Biashara ya Ulinzi Tanzania

💰 Bei: TZS 30,000 tu

📲 Wasiliana nami sasa kupata nakala yako

👉 WhatsApp: 0627 748 871

Usikae na wazo—anza sasa.

18/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Salma Hassan, Babyna Zawadi

Address

Mbalizi Along Tanzam Road
Mbeya

Opening Hours

Monday 20:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pam and Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share