EMS-GLOBAL LIMITED

EMS-GLOBAL LIMITED Our Mission:
To equip companies of all sizes around the world with sound corporate frameworks and st

11/01/2024

Tunakutakia Mwaka mpya 2024 wenye mafanikio katika biashara yako. Sisi tutaendelea kutoa huduma bora ya ushauri na usima...
31/12/2023

Tunakutakia Mwaka mpya 2024 wenye mafanikio katika biashara yako. Sisi tutaendelea kutoa huduma bora ya ushauri na usimamizi wa biashara na ufanisi wa taasisi yako, dhamana katika miradi mikubwa ya umma na binafsi. Wewe ni wa muhimu sana kwetu. Asante www.emsglobal.co.tz

  karibu sana
01/11/2023

karibu sana

20/10/2023

Mara nyingi watu huanzisha biashara wanazozitamani na sio zile wanazozijua.

Hivyo hutumia muda mwingi wakijifunza huku biashara hizo zikiwa zimeshaanza na wanaendelea na biashara hizo, mara kadhaa huishia kupata hasara kubwa katika kipindi hicho cha kujifunza (learning curve).

Ni bora ufanye maamuzi ya kuanzisha biashara ambayo umeitafiti vema, umejifinza na upo tayari kuimudu, utaona matokeo kwa wakati sahihi.

Nijulishe kwenye comments, unaifurahia biashara yako unayoifanya sasa ?

Nitakushauri nini ufanye. Karibu

Menejimenti ya EMS-GLOBAL LIMITED na makampuni yake tanzu inakutakia heri ya wiki ya huduma kwa wateja! Ni wiki muhimu y...
04/10/2023

Menejimenti ya EMS-GLOBAL LIMITED na makampuni yake tanzu inakutakia heri ya wiki ya huduma kwa wateja!

Ni wiki muhimu ya kuonesha na kuthamini mchango wako kwetu.

Tunaahidi kuendelea kukupatia huduma bora zaidi zinazolenga kukupunguzia gharama za uendeshaji na kukuongezea faida.

Endelea kuchagua EMS-GLOBAL LIMITED kila ufikiriapo kuhusu USHAURI na usimamizi wa biashara. www.emsglobal.co.tz

Robo ya mwisho ya mwaka imeanza. Karibu tukuhudumie
01/10/2023

Robo ya mwisho ya mwaka imeanza. Karibu tukuhudumie

We are with you!
03/08/2023

We are with you!

We had the opportunity to provide business consultancy services to the hotel industry, specifically focusing on hospital...
18/06/2023

We had the opportunity to provide business consultancy services to the hotel industry, specifically focusing on hospitality, customer services and performance. At the end of a comprehensive training session, we captured group photos with the trainees (managers) from some of the departments of finest restaurants, casinos of LE GRANDE in the Dar es Salaam, Tanzania.

Karibu June
01/06/2023

Karibu June

Happy Labour's Day
01/05/2023

Happy Labour's Day

Tanzania @59
26/04/2023

Tanzania @59

Eid El-Fitri
22/04/2023

Eid El-Fitri

Address

Rita Tower, 23rd Floor
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:00

Telephone

+255755999699

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EMS-GLOBAL LIMITED posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share